I'm sorry - I couldn't resist. I was writing my trip report in Swahili. This is about the second day. It's a first draft, so I apologize for any grammar mistakes!
Jumanne asubuhi, tulitembelea shamba la viungo. Nilifurahi nikinukia na nikionja viungo mbalimbali na kuona vipandwavyo. Mwisho wa kutembelea, mtoto mmoja alipanda mnazi kuangusha manazi. Sisi wengine walijaribu pia, lakini kupanda mnazi ni kugumu sana. Nilifurahia kuona njia ya kupata manazi lakini ninafiki ni afadhali angeenda shuleni badala ya kufanya kazi. Wanafunzi wengi walinunua viungo vingi. Niliinunulia familia yango ya Kenya viungo kwa zawadi.
Tuliporudi mjini, tulipata nafasi kula chakula cha mchana na kutembea mjini. Nilienda pamoja na Carley kununua chakula cha mitaani na kupeleleza. Tulienda hotelini ambako nilikuwa nimekula huko nilipotembelea Zanzibar kabla kununua sambusa. Halafu, tuliona mwanamume aliyeuza viazi vitamu vilivyokuwa vimechoma. Alitupa kiazi kimoja kuonja na baada ya kukionja, tuliamua kununua kingine. Halafu tukanunua ndizi na chunga sokini, tukanunua chapati na maji na tukala. Tulilipa shilingi elfu mbili mia nne tu kwa vyakula vyote, matunda na maji, lakini tulishiba kabisa na hatukuweza kumaliza vyakula vyote. Baada ya kumaliza kula, nilitaka kununua sketi na gaguro shimizi. Carley na mimi tulipotembea sokoni tukitafuta nguo hizo, wavulana waliocheza drafti walitualika kuchaze nao. Tulikubali na nilicheza na mvulana mmoja. Kwa sababu hatukujua kwa hakiki kwamba walicheza tuchezavyo Marekani, tuliomba maelezo ya kuchezavyo. Mchezo wa kwanza nilishinda sana. Halafu Carley na mimi tulicheza pamoja na Carley akacheza na mvulana mwingine. Tulipoanza kucheza, kulikuwa na watazamaji kama watano, lakini baada ya muda mfupi kabisa, kulikuwa na watazamaji kama ishirini waliokuwa wakiangalia wazungu (wasichana!) wakicheza drafti.
Jioni tulikwenda Bustani ya Forodhani ili tule chakula cha jioni. Nilifurahia sana kula huko, lakini nilipoanza kurudi hotelini pamoja na Lena na Emily, mwanamume mmoja alizungumza nami na aliniomba kutembea naye kwa sababu mume wangu yuko mbali. Nilikasirika sana na nilimwambia kwamba simi mtu anayefanya hivyo na alliondoka haraka.
Wednesday, July 26, 2006
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
6 comments:
I know your trip last week was wonderful, but I sure couldn't prove it from this account! I am impressed with your Swahili, though. Just wish I could comprehend what you wrote. (I do need to learn a few words for our visit in October. I'd better get busy!)
Love,
Mom
Sarah -
This post is all Greek to me! :)
I will trust you that it is written in Swahili - and who would know if your grammar is correct or not! I picked up a few words - Carly, Lena and Emily! Maybe you'll post the translation sometime.
Love ya,
Cheryl
Does hotelini mean hotel? If so, that's about all I could guess.
Nice job though! I'm very impressed.
Julie did better than I did, cause all I got was, "Emily." Ha! Ha! I hope you're having a blast! We miss you and pray for you lots and lots.
Love Ya!
Andrea
Wewe anajifunza mingi sana. Sasa wewe si mzungu, wewe ni mwafrica. Mzuri kabisa.
Your Dad's Sunday School Class
and so many of us would know about your grammar mistakes in swahili! I enjoy your updates I understand though. :) Love and prayers,
Jennifer N
Post a Comment